text
stringlengths
1
464
Kidonda kilipokosa kupona alikatwa mguu.
Ukipokonywa nyota utakuwa na shida sana
Alikaribisha mtu akamuibia kila kitu
Ukienda kuwinda utapata mnyama
Uwape salama wote hao
Ukihesabu kwenda kurudi itakuwa bora
Usile mapapai usije ukahara
Tembe za mapapai ni dawa ya minyoo
Ameshinda akinyunyizia shamba maji jua limezidi
Ukija na gari liache mbali
Wameenda mkutano wa msichana anayeolewa
Wamejua akienda kwa mganga atarudi mzuri
Alileta majini kwake akapigwa
Nawaambia muache madharau
Hao watu wote mnaokula nao hawatawasaidia
Bora yule uliyezaliwa nae ule nae
Alipewa uchawi na nyanyake amroge mamake
Ni vizuri kufungua watoto wetu mdomo
Enda uwaangalie watoto wako
Msigombane juu ya utajiri wa baba yenu
Ukiona babako na mamako ni wazuri usitake uzuri wao
Omba nyota kwa babako na mamako
Ukitaka kuua mtoto wako mpe pesa
Mtoto wako akijua pesa anakuwa mwizi
Mtoto wa tajiri hajui mende au kunguni
Haya maharagwe hayaivi ni magumu
Mafuta menyi kwenye chakula yanaleta magonjwa
Mke wake amerarukiwa na nguo
Furahishwa na bwana yako hata kama amezeeka
Bibi anaye furahia kwa sababu ukona pesa ni kupe
Huwa wanapiga bwana zao
Mundu anajivuna kwa sababu ana peas
Ukila uzidishe ni vibaya
Ukiwa na shida utamuita nani?
Huyu mwanamke sijui anataka kufanyia watu nini
Asante umenitetea
Twende tuone wanaishi wapi
Wamemtafuta wakamkosa mahalialikuwa
Inatakikana watu waangalie miiliyao
Usikae lege lege
Mtoto wao alizalia nje
Kifua chake kimekuwa kikubwa
Nataka niende nikitafuta
Ukitaka pesa ndo unapea watu kiti
Sima unaweza kula kila siku ukibadilisha mboga
Alienda kujificha pangoni ila alionekana
Walikutana kanisani wakaoana
Walingoja sana kupata mimba
Lakini kwanini waganga wandanganya watu
Akioga hang'ari
Kila swali lina jibu
Wamesema watakuja Jumatatu
mimi sitaki njia zake za giza
Wakiwa hawataki huwa wanasema
Wanataka kuibia watu
Wezi wote walichomwa
Mnatutia aibu na kuomba
Vifaranga wangu wanasinzia
Niliienda mbali na mambo yangu yakaharibika
Nilimwachia sungura na kuku
Kikichukua mtu hakiwezi kumrudisha
Wanapelekwa kwa waganga na mama zao
Msishangae na hayo maneno yao
Nyw'ele zao zimekuwa kubwa
Watu wanakimbizana na kupalilia
Watoto wasichana muone haya kuwaomba wanaume pesa
Ukienda kunywa pombe ujinunulie mwenyewe
Huwa sipendezwi na watu wanaosema tuko sote
Huwa mnatafutana mkifiliwa
Sipendi watu hugombeza wenzao
Msilee watoto kama mayai
Ambieni watoto wasisimame hapo.
Nimelelewa kwa njia ngumu sana
Kama huwa unaenda kwa waganga enda na watoto wako
Onesha watoto wako kutafuta ya siku.
Nguo zake zinatoa harufu mbaya
Tumbo linauma
Anang'aa kama kioo
Kioo chake kimepasuka
Amenunua kioo kingine
Amemlenga na kioo
Amepewa kioo aangalie nyw'ele yake
Huwa anauza kioo kikubwa
Dukani kwake ana kioo
Hana kioo nyumbani
Huwa anamuona na kioo
Nyumbani kwao wamejaza vioo
Alikula pesa za baba yake.
Aliibiwa mabati
Mji wake hauna mabati
Mabati yote yametoboka
Amenunua mabati mengine
Amepewa mabati na chifu
Amepatikana aking'oa mabati ya babake
Akiweka mabati nyumba hiyo imeisha
Ameanguka kutoka kwenye mabati
Amekutwa akiroga juu ya mabati
Yule mtu aliyenipatia mabati alifariki.
Amefungua mahali pa kutengeneza mabati
Amenipa mabati yake yote